Tangazo la Kozi ya Pre-Form One 2021

Shule ya Sekondari Omega inapenda kuwaalika wanafunzi kujiunga na kozi ya Pre-Form One kwa mwaka 2021. Kozi hii inagharimu Sh 60,000 kwa wanafunzi wa kutwa na Sh 200,000 kwa muda wote wa kozi hii (kwa wanafunzi wa Bweni). Kozi ya Pre-Form One itaanza tarehe 13/09/2021.  Jaza fomu ya maombi ili Kujiunga na Kozi ya Pre-Form One